Biblia Takatifu (Bible in Swahili - Daily Reading)
source

Biblia Takatifu (Bible in Swahili - Daily Reading)

(19)
Price
Free
Category
Books Education
Last update
Jun 04, 2021
Publisher
Oleg Shukalovich Contact publisher
View in store
Loading...

Ratings & Reviews performance

Ratings & Reviews performance provides an overview of what users think of your app. Here are the key metrics to help you identify how your app is rated by users and how successful is your review management strategy.

Number of reviews,
total
19
Avg rating,
total
⭐5.0
Loading...

User Reviews for Biblia Takatifu (Bible in Swahili - Daily Reading)

Why to reply to reviews?face_screaming

User reviews affect conversion to installs and app rating. Featured and helpful reviews are the first to be noticed by users and in case of no response can affect download rate.

Description

2086 chars

Biblia Takatifu ya Kiswahili (Swahili Bible) Biblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya Ukristo. Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana "vitabu" tu, inavyomaanishwa na neno "biblia" ambalo ni uwingi wa neno la Kigiriki "biblos" yaani "kitabu". Hutofautishwa na Tanakh ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la "Biblia", hasa katika matoleo ya Biblia ya Kiebrania . Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo kwa jina la "Agano la Kale". Biblia ya Kikristo hugawiwa sehemu mbili ambayo ni Agano la Kale na Agano Jipya. Agano la Kale lina maandiko yaliyoandikwa kabla ya Yesu Kristo na vitabu vya Agano Jipya viliandikwa baada yake. Agano la Kale Kimsingi vitabu vya Agano la Kale ni vilevile vya Biblia ya Kiebrania, ingawa madhehebu ya Kikristo hutofautiana kidogo katika hilo. Ni kwamba wakati wa kutokea kwa Ukristo palikuwa na tofauti ndani ya Uyahudi kuhusu vitabu vilivyohesabiwa kuwa maandiko matakatifu. Suala hilo liliondolewa kuanzia mwaka 80 BK wataalamu wa Wayahudi wa huko Jabneh (Jamnia) walipochukua msimamo mkali dhidi ya wafuasi wa Yesu. Kwa wakati huo Wakristo walikuwa wamezoea tayari toleo la Kigiriki la maandiko matakatifu yaliyotafsiriwa katika karne ya 2 KK ambalo linajulikana kwa jina la Septuaginta na kuwa na vitabu kadhaa visivyokuwa vimetunzwa katika lugha asili ya Kiebrania wala ya Kiaramu, au vilivyoandikwa moja kwa moja katika lugha ya Kigiriki. Hivyo Biblia ya Kikristo ilikuwa na vitabu 7 (viwili vya Wamakabayo, Yoshua bin Sira, Hekima, Tobiti, Yudith na Baruku, pamoja na sehemu za Esta na Danieli) visivyokubaliwa baadaye na Wayahudi. Vitabu hivyo 7 vikaja kukataliwa na Martin Luther katika karne ya 16, halafu na Waprotestanti wengi, lakini vinazidi kutumiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kwa jina la Deuterokanoni. Agano Jipya Kuna vitabu 27 vya Agano Jipya. Vinne vya kwanza ni Injili nne zinazoleta habari za maisha, matendo na maneno ya Yesu. Vingine ni Matendo ya Mitume, Nyaraka za Mitume, hasa Mtume Paulo, na Ufunuo wa Yohane.

Screenshots

https://is5-ssl.mzstatic.com/image/thumb/Purple19/v4/6f/3d/0a/6f3d0a9c-6850-06eb-bd0a-e6608013f5d7/mzl.jjpzjspg.png/750x1334bb.pnghttps://is3-ssl.mzstatic.com/image/thumb/Purple62/v4/18/29/1e/18291e1f-d332-d366-f0d6-d02f01a2fe03/mzl.mlqcqzfd.png/750x1334bb.pnghttps://is4-ssl.mzstatic.com/image/thumb/Purple71/v4/69/4a/39/694a3995-641d-bfda-dad4-d01d06ece003/mzl.nzihwssy.png/750x1334bb.pnghttps://is5-ssl.mzstatic.com/image/thumb/Purple71/v4/f3/28/a3/f328a318-604c-d235-e2be-1611b9d5adc6/mzl.twqyhsmm.png/1334x750bb.pnghttps://is2-ssl.mzstatic.com/image/thumb/Purple71/v4/85/f7/05/85f705f2-2dfb-1b42-650a-e98a4c52d522/mzl.njtpiucb.png/750x1334bb.png
Loading...
Loading...

Find growth insights on our blog

React to user feedback and market trends faster